Home | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 Home

Popular Posts Of The Day

Mbunge viti maalum amlaani Polepole bungeni, adai ni aibu kwa CCM kuwa na kiongozi anayedhalilisha wanawake

Mbunge viti maalum amlaani Polepole bungeni, adai ni aibu kwa CCM kuwa na kiongozi anayedhalilisha wanawake

Bongo5 / 22 Hits

Mbunge wa viti Maalumu, Upendo Peneza (CHADEMA) amemtuhumu Katibu Mwenezi kwa CCM, Humphrey Polepole kuwa anadhalilisha wanawake kwa kauli zake kuhusu wabunge wa viti maalumu. Mhe. Upendo PenezaMhe. Peneza amesema kuwa Mwenezi Humphery Polepole, amewadhalilisha wabunge wa viti maalumu wanaotokana ...


Latest Videos

View All Videos

Recent Job Posts

United Republic of Tanzania: Portfolio Developer

United Republic of Tanzania: Portfolio Developer

Jobs Tanzania / 1 Hits

Organization: Enabel Country: United Republic of Tanzania Closing date: 02 Apr 2018 To further develop its activities, Enabel is looking for a (m/f): Portfolio Developer – TANZANIA Ref.: TAN/18/072-1 Pursuant to this procedure, Enabel will hire 1 portfolio developer for Dar ...

View All Job Posts

Recent Tech Posts

Skendo: Samsung Fold zaharibika baada ya utumiaji wa muda mfupi

Skendo: Samsung Fold zaharibika baada ya utumiaji wa muda mfupi

Teknokona / 3 Hits

Samsung Fold zaharibika baada ya utumiaji wa muda mfupi kwa waandishi wa habari kadhaa waliopata nafasi ya kujaribu toleo hili jipya la simu inayokunjika display kutoka Samsung.   Simu ya Samsung Fold ni moja ya simu mpya za kwanza kuja ...

View All Technology Posts

Recent Sports Posts

Kagere, Okwi, Bocco waipoteza Yanga nzima

Kagere, Okwi, Bocco waipoteza Yanga nzima

Mwanaspoti / 8 Hits

Ukiichukua safu nzima ya ushambuliaji ya Yanga inayoongozwa na Makambo, Ajibu, Tambwe na Mrisho Ngassa bado haiwezi kufikia mabao ya Kagere, Okwi na Bocco. Ngassa anmeifungua Yanga mabao manne sawa na kiungo Feisal Salum.

View All Sports Posts

Recent Fashion Posts

Flaviana Matata Foundation Yatoa Vifaa Vya Shule kwa Wanafunzi 284 wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Msinune

Flaviana Matata Foundation Yatoa Vifaa Vya Shule kwa Wanafunzi 284 wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Msinune

8020 Fashions / 1 Hits

Leo muhula mpya wa masomo kwa mwaka 2019 umeanza. Taasisi yetu ambayo ni walezi wa Shule ya Msingi Msinune tunaendelea na utaratibu wetu wa kugawa vifaa vya kujifunzia kwa wanafunzi na vifaa vya kufundishia kwa walimu vitakavyotumika kwa mwaka mzima. Kwa ...

View All Fashion Posts