3.8 Bilioni zatengwa Afcon ya vijana - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

3.8 Bilioni zatengwa Afcon ya vijana

Zikiwa zimesalia siku 30 kabla ya pazia la mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa vijana (Afcon U17) kuanza, Katibu mkuu wa kamati ya Ndani ya maandalizi ya mashindano, Leslie Liunda ametaja bajeti nzima itakayotumika kufanikisha mashindano hayo.


Source: MwanaspotiRead More