52% ya Watanzania wamepima Ukimwi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

52% ya Watanzania wamepima Ukimwi

SERIKALI imesema kuwa Watanzania wapatao 2,405,296 hadi kufikia tarehe Oktoba 2018 walipima VVU kupitia Kampeni ya ‘Furaha Yangu’ ambao ni sawa na asilimia 52 ya lengo la kuwapima watanzania wapatao 4,638,639 hadi Desemba 2018. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. ...


Source: MwanahalisiRead More