A TO Z YAWASHAURI WATANZANIA KUPENDA KUNUNUA BIDHAA ZINAZOZALISHWA NCHINI TANZANIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

A TO Z YAWASHAURI WATANZANIA KUPENDA KUNUNUA BIDHAA ZINAZOZALISHWA NCHINI TANZANIA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
KIWANDA cha A to Z cha mkoani Arusha kimewashauri Watanzania kununua bidhaa zinazolishwa na viwanda vya ndani ili kuijenga Tanzania pamoja hasa kwa kuzingatia viwanda vya ndani vinatengeneza bidhaa bora kuliko zinatoka nje.
Kiwanda hicho ambacho kimeshika nafasi ya kwanza kwa kuzalisha bidhaa bora katika Maonesho ya Biashara ya 43 ya Kimataifa kwa mwaka 2019.
Akizungumza wakati anazungumza na Michuzi TV na Michuzi Blog katika maonesho hayo yanayoelekea kumalizika Shom Darlami kutoka A to Z amesema wanajivua bidhaa bora ambazo zinatengenezwa na Watanzania zaidi ya 8000 waliopo kiwandani hapo.
Hata hivyo ametumia nafasi hiyo kueleza kuwa A to Z inatamani na kuona bidhaa za Tanzania zikipewa kipaumbele kwa kununuliwa na Watanzania wenyewe na kwa kufanya hivyo usaidia kwanza kutafanya wenye viwanda kuendelea na uzalishaji lakini pili itakuwa fursa ya kuijenga Tanzania ya viwanda kwa pamoja.
"Kwanza tueleze A to Z tunazalisha bidhaa bora kwa gharama nafuu.Hata hivyo ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More