Aaah! TFF yaigomea Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aaah! TFF yaigomea Simba

HIVI karibuni Msemaji wa Simba, Haji Manara alitoa ushauri kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwamba, kama wataona inafaa basi wakabidhiwe ubingwa wa Ligi Kuu Bara siku watakayocheza na Sevilla inayoshiriki Ligi Kuu Hispania (La Liga).


Source: MwanaspotiRead More