ABDI BANDA ALIPOKUTANA NA ABDI KASSIM 'BABBI' JANA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ABDI BANDA ALIPOKUTANA NA ABDI KASSIM 'BABBI' JANA

Beki wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda (kushoto) akiwa mchezaji wa zamani nyota nchini, Abdi Kassim 'Babbi' baada ya kukutana kwenye mazoezi ya timu ya mwanamuziki Ali Kiba na Rafiki zake jana Uwanja wa Jakaya Mrisho Kikwete (JMK) Park, eneo la Gerezani, katika kujiandaa na mchezo wa Hisani dhidi ya timu ya Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta na Rafiki zake unaofanyika leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam  
Abdi Kassim, kiungo wa zamani wa Yanga na Taifa Stars  (kushoto) akiwa ba kipa Shaaban Kado  
Abdi Banda akijifua leo kujiandaa kwenda kumdhibiti Mbwana Samatta
Ali 'King' Kiba mwenyewe (kulia) akiwa mazoezini jana 
Kiungo Ally Bin Slum akiwa hoi baada ya mazoezi kidogo tu jana
Mzee wa Mashuti Kariakoo hadi Chamazi akiwa mazoezini jana JMK Park... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More