Abdi Banda Mwamba wa Chuma usiotingishwa na kutu - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Abdi Banda Mwamba wa Chuma usiotingishwa na kutu

::
📅Tarehe kama ya leo Abdi Banda “Mwamba wa Chuma” alizaliwa. Ni mmoja kati ya mabeki wenye uwezo wa hali ya juu. Katika mambo makubwa aliyojaliwa ni uwezo wake wa kucheza nafasi tofauti uwanjani. Ana uwezo wa kucheza kama beki wa kushoto, beki wa kati na hata kiungo mkabaji. kabla ya yote heri ya mwaka mpya mwamba.

::
📈Katika ligi ya Afrika Kusini kicha ya Abdi Banda kucheza mechi chache ndiye beki namba 5 aliyesafisha mashambulizi hatari zaidi akiwa na wastani wa kufanya hivyo mara 15 kila mchezo huku akiwa amecheza mechi 13 pekee.

::
📉Aina yake ya uchezaji na umbo lake kwa mbali unaweza ukaona miondoko ya Virgil Van Djik wa Liverpool. Van Djik amekuwa na wastani mkubwa wa kuondosha mipira ya kichwa kutokaba na Umbile lake, huku Abdi Banda akishilikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa tatu katika ligi ya Afrika Kusini, ambaye ameondosha mipira ya juu kwa asilimia 70.

::
📊Abdi Banda huyo kumbuka anasumbuliwa sana na majeraha. Msimu wake wa kwanza alicheza mechi 28 na kufunfa mabao matatu, msi... Continue reading ->
Source: Shaffih DaudaRead More