ABDULKARIM AFUNGA NDOA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ABDULKARIM AFUNGA NDOA

 Bi harusi, Aisha Ally akiwa katika pozi kabla ya kufunga ndoa na Bwana harusi Abdulkarim Amani eneo la Tabata Kimanga Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)  Bi harusi, Aisha Ally akiwa katika moja ya pozi kabla ya kufunga pingu za maisha na Bwana harusi Abdulkarim Amani eneo la Tabata Kimanga Dar es Salaam  Bi harusi, Aisha Ally akiwa katika pozi  Bi harusi, Aisha Ally akiwa katika pozi kabla ya kufunga ndoa na Bwana harusi, Abdulkarim Amani eneo la Tabata Kimanga Dar es Salaam  Bwana harusi, Abdulkarim Amani  akiwa amempakata mke wake, Aisha Ally mara baada ya kufunga ndoa nyumbani kwao na bi harusi Januari 04, 2019 , Tabata Kimanga Dar es Salaam
 Bi harusi Aisha Ally, akipongezwa na madada na marafiki   mara baada ya kufunga ndoa yake na mume wake, Abdulkarim Amani Januari 04, 2019, Tabata Kimanga Dar es Salaam Mwalimu Asia Mayumana (kulia) akiwa katika picha na wadogo zake, kuanzia kushoto ni Shida Mayumana na Halima mayumana ambaye ni Muuguzi Hospitali ya ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More