ACACIA YARUHUSIWA KUENDELEA KUSAFIRISHA DHAHABU - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ACACIA YARUHUSIWA KUENDELEA KUSAFIRISHA DHAHABU


Kampuni ya Acacia imeruhusiwa kuendelea na utaratibu wa kusafirisha dhahabu baada ya kuzuiliwa kwa takribani mwezi mmoja na Tume ya Madini Tanzania


Taarifa iliyotolewa na Acacia inaeleza sasa wataanza kusafirisha madini kutoka North Mara baada ya kutimiza masharti
Hata hivyo, Tume ya Madini imesema inaamini baadhi ya vipengele vya kanuni ya madini ya mwaka 2010 vilikiukwa na imewataka kuwasilisha mpango wa uchimbaji na ripoti ya upembuzi yakinifu ifikapo Ijumaa ya wiki hii
Acacia imekuwa kwenye mvutano wa muda mrefu na Serikali baada ya kuzuiwa kusafirisha Makinikia nje ya nchi kwa madai ya kutolipa mrabaha stahiki... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More