ACT wamruhusu Zitto kujiunga UKAWA - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ACT wamruhusu Zitto kujiunga UKAWA

KAMATI Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo kimebariki msimamo wa kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe wa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani katika kusimamisha wagombea kwenye uchaguzi mdogo wa marudio wa majimbo mawili na kata 79. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya kamati hiyo ...


Source: MwanahalisiRead More