ACT-Wazalendo wamshangaa AG - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ACT-Wazalendo wamshangaa AG

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeshangazwa na hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kupinga hukumu ya Mahakama Kuu iliyobatilisha wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na wanahabari leo tarehe 14 Mei 2019 jijini Dar es Salaam, Katibu wa Itikadi na Uenezi ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amesema, hatua ya serikali kukatia rufaa hukumu hiyo inasikitisha ...


Source: MwanahalisiRead More