ACT-Wazalendo waomba mkutano wa maridhiano - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ACT-Wazalendo waomba mkutano wa maridhiano

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali pamoja na wadau wa demokrasia nchini kuitisha mkutano wa kitaifa wa maridhiano ya kisiasa kwa ajili ya kujadili changamoto zinazokabili mfumo wa vyama vingi. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Wito huo umetolewa leo tarehe 15 Agosti, 2018 jijini Dar es Salaam na Dorothy Semu, Kaimu Katibu Mkuu wa ACT wakati ...


Source: MwanahalisiRead More