Adhabu kutokana na aina ya kosa la mtandao - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Adhabu kutokana na aina ya kosa la mtandao

Dunia ya leo imekuwa kijiji na kila siku mambo kadha wa kahda yanachapishwa kwenye mitandao mbalimbali lakini kutokana na hilo wenye mamlaka wakatunga sheria ambayo tafsiri yake ikaleta adhabu kutokana na aina ya kosa la mtandao. Sasa kuna ukweli kwamba si watu wengi ambao wanafahamu makosa ya mtandao kubwa zaidi adhabu ambayo mtu atapewa kulingana [...]


The post Adhabu kutokana na aina ya kosa la mtandao appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More