ADOLPH RISHARD, KASSIM MANARA WAKIPOKEA KOMBE LA CCM PAN 1977 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ADOLPH RISHARD, KASSIM MANARA WAKIPOKEA KOMBE LA CCM PAN 1977

MAKOCHA wa timu ya taifa, Joel Bendera na Ray Gama wakimkabidhi Kombe la CCM Nahodha wa Pan Africans, Mohammed ‘Adolph’ Rishard Februari 5, mwaka 1977 baada ya kuwafunga Coastal Union ya Tanga 3-0 kwenye fainali Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Katikati anayetazama kamera ni mshambuliaji Kassim Manara ambaye siku hiyo alifunga mabao mawili


Source: Bin ZuberyRead More