Afande Sele afunguka ishu ya kumng’oa ubunge Sugu na Professor J (Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Afande Sele afunguka ishu ya kumng’oa ubunge Sugu na Professor J (Audio)

Mkongwe wa muziki nchini Selemani Msindi ‘Afande Sele’ amesema anajipanga kumng’oa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ katika jimbo la uchaguzi Mbeya mjini mwaka 2020. Afande Sele ambaye alihamia CCM akitoka ACT Wazalendo, ameuambia mtandao wa Habari Leo kwamba, anaona namna Sugu alivyojineemesha na fedha za uongozi huku akiacha jimbo lake halina maendeleo yoyote.The post Afande Sele afunguka ishu ya kumng’oa ubunge Sugu na Professor J (Audio) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More