AFC yafyeka kikosi kizima - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AFC yafyeka kikosi kizima

Katibu msaidizi wa timu hiyo, Immanuel Minja alisema wamebakiza wachezaji 10 kati ya 30 waliokuwa nao msimu uliopita hii imetokana na mahitaji na sifa alizohitaji kocha mpya, Martin Mahimbo anayetaka wachezaji wenye uwezo wa kupambana.


Source: MwanaspotiRead More