Afcon 2019: Kenya yailaza Ghana, Tanzania yaizuia Uganda - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Afcon 2019: Kenya yailaza Ghana, Tanzania yaizuia Uganda

Goli la kujifunga la Nicholas Opoku katika kipindi cha kwanza liliisaidia timu ya nyumbani Harambee Stars yenye wachezaji kumi kuvunja bahati mbaya ambayo imekuwa nayo ya miaka 15 dhidi ya Black Stars ya Ghana


Source: BBC SwahiliRead More