Afcon 2019: Sadio Mane kuhudumia marufuku ya mechi moja - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Afcon 2019: Sadio Mane kuhudumia marufuku ya mechi moja

Mkufunzi wa Senegal Aliou Cisse amethibitisha kuwa nyota wake wa Liverpool sadio mane amepigwa marufuku ya mechi moja hivyobasi hatoshiriki katika mechi ya ufunguzi dhidi ya Tiaf Stars ya Tanzania


Source: BBC SwahiliRead More