AFCON 2019: Taifa Stars yaifunga Uganda na kumaliza mkosi wa miaka 39 - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AFCON 2019: Taifa Stars yaifunga Uganda na kumaliza mkosi wa miaka 39

Mara ya mwisho kwa timu hiyo maarufu kama Taifa Stars ilikuwa 1980, ambapo hakuna hata mchezaji mmoja katika kikosi cha sasa ambaye alikuwa amezaliwa.


Source: BBC SwahiliRead More