AFCON ISIWE CHANZO CHA HISTORIA YA MAUMIVU KATIKA SOKA YETU - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AFCON ISIWE CHANZO CHA HISTORIA YA MAUMIVU KATIKA SOKA YETU

Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM 
WASWAHILI wana misemo sana nimekumbuka msemo mmoja unaosema kuwa kila mtu ana zamani zake,wakiwa na maana kuwa hata mimi pia nina zama zangu za kujidai,jambo linalo nipelekea nikumbuke stori za zama zangu kutoka kwenye kitabu cha hadithi za kuchekesha na kufikirisha kitabu cha Abunuwasi.
Ambapo moja ya visa vyake ni  hiki' Abunuasi alijenga nyumba yake ya ghorofa 4 ambapo alipanga afanye biashara zake ili atengeneze faida na kukua kiuchumi,alifanikiwa kuzimaliza na kufanya biashara zake ambazo hazikuleta matunda chanya hivyo akaamua kubadili mawazo na kuamua kutangaza kuziuza nyumba zile za juu kwa maana aliuza ghorofa ya 1,2,3 na 4  na yeye kubakiwa na ile nyumba ya chini ambapo aliishi mwenyewe na wanunuzi wa juu waliendelea na maisha yao bila shaka lakini hata baada ya kuuza zile nyumba na kudhani labda atapata afueni ya maisha lakini bado haikua kama alivyowaza na kila alipowaona wanunuzi wa zile nyumba za juu aliwaona wakiwa na furaha na maisha ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More