'Africa United': Mataifa ya Afrika yaliyochangia wachezaji timu ya taifa na Ufaransa Kombe la Dunia 2018 - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

'Africa United': Mataifa ya Afrika yaliyochangia wachezaji timu ya taifa na Ufaransa Kombe la Dunia 2018

Ufaransa watakutana na Croatia katika fainali ya Kombe la Dunia Urusi Jumapili na ingawa hakuna timu kutoka Afrika iliyofika hatua ya muondoano, wengi wamekuwa wakilitaja taifa hilo kama Africa United.


Source: BBC SwahiliRead More