AGAPE YAENDESHA KIKAO CHA USHAWISHI NA UTETEZI WA MASUALA YA AFYA NA UJINSIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AGAPE YAENDESHA KIKAO CHA USHAWISHI NA UTETEZI WA MASUALA YA AFYA NA UJINSIA

Afisa mradi wa afya ya uzazi na ujinsia kwa vijana kutoka Shirika la Agape ACP Lucy Maganga akizungumza wakati wa kikao cha ushawishi na utetezi wa masuala ya afya ya uzazi na ujinsia katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga leo katika shule ya msingi Shingida- Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blogAfisa mradi wa afya ya uzazi na ujinsia kwa vijana kutoka Shirika la Agape ACP Lucy Maganga akizungumza ambapo wajumbe wa kikao hicho watakuwa mabalozi wa kuishauri halmashauri ya wilaya kuongeza bajeti ya masuala ya afya ya uzazi ikiwemo miundombinu rafiki shuleni hasa vyoo,maji na vyumba vya kujisitiri kwa watoto wa kike.Wajumbe wa kikao hicho wakimsikiliza Lucy Maganga.Afisa Elimu Vifaa na Takwimu Idara ya elimu sekondari halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Lucas Mambile akielezea mikakati iliyopo katika halmashauri katika kusaidia masuala ya afya ya uzazi na ujinsia kwa wanafunzi ambapo alisema wametenga bajeti kwa ajili ya kusaidia wanafunzi wa kike shuleni.Kaimu ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More