AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE - UKIMWI DODOMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AGPAHI YAENDESHA WARSHA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE - UKIMWI DODOMA

Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya UKIMWI, Oscar Mukasa ambaye ni mbunge wa Jimbo la Biharamulo akifungua warsha kuhusu shughuli zinazotekelezwa na Asasi ya kitaifa isiyo ya kiserikali ya Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) iliyofanyika Septemba 13,2018 katika Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Septemba 13,2018 - Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog.Mheshimiwa Oscar Mukasa akizungumza wakati wa warsha hiyo.Mkurugenzi wa Asasi ya kitaifa isiyo ya kiserikali ya Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI), Dk. Sekela Mwakyusa akijitambulisha kwa Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya UKIMWI.Dk. Sekela akiwaeleza Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya UKIMWI jinsi AGPAHI inavyozingatia miongozo ya Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto katika mapambano ya VVU na Ukimwi kwa kuhakikisha kuwa watoto,wanawake na familia zao kwa ujumla wanapata huduma bora za VVU na UKIMWI.Mku... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More