AGUERO AFUNGA LA KWANZA MAN CITY YAIFUMUA 5-0 BURNLEY ETIHAD - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AGUERO AFUNGA LA KWANZA MAN CITY YAIFUMUA 5-0 BURNLEY ETIHAD

Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 17 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Bernardo Silva dakika ya 54, Fernandinho dakika ya 56, Riyad Mahrez dakika ya 83 na Leroy Sane dakika ya 90 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More