AGUERO ASAINI MKATABA MANCHESTER CITY HADI MWAKA 2021 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AGUERO ASAINI MKATABA MANCHESTER CITY HADI MWAKA 2021

Mshambuliaji Sergio Aguero akiwa ameshika jezi yake baada ya kusaini mkataba wa kuendelea kufanya kazi kwa mwaka mmoja zaidi Manchester City hadi mwaka 2021 kwa mshahara wa Pauni 220,000 kwa wiki. Aguero, mwene umri wa miaka 30, amefunga mabao zaidi ya 200 tangu amejiunga na Man City mwaka 2011 na ndiye mfungaji bora wa muda wote wa klabu baada ya Novemba mwaka jana kuvunja rekodi ya miaka 78 iliyowekwa na Eric Brook Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More