Aguero na Messi wanatisha hadi wanaboa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aguero na Messi wanatisha hadi wanaboa

Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero ametimiza hatrick tisa, na kuwa sawa na Robbie Fowler mwenye hatrick 9 pia. Allan Shearer peke yake ndiye anashikilia rekodi ya hatrick 11 kwenye ligi kuu ya Uingereza.


Aguero Sergio kun: Ametajwa kuwa mchezaji bora wa mechi


Alama 10

Mabao 3

Mashuti 9

Amelenga 4

Kukimbia na mpira 2

Pasi muhimu 1


David Silva kwenye ligi kuu ya Uingereza, tangu ajiunge na Manchester City,


🔵 250 Michezo
🔵 167 Ushindi
🔵 75 asisti
🔵 49 Magoli
🔵 3 Makombe


Messi aliifungia Barcelona bao la 5,000 La Liga mwaka 2009, Lionel Messi jana aliifungia barcona bao la 6000. Amechangaia mabao 462 kwenye mabao 1,000.


• 337 Mabao

• 125 asisti


Washambuliaji wa Everton waliofunga magoli mawili katika mechi zao mbili za kwanza, katika liigi kuu ya Uingereza.


Brian McBride – January 2003

Romelu Lukaku – September 2013

Richarlison – August 2018


Winga wa klabu ya Bayern Leverkusen, Bailey Leon, amesaini mkataba mpya na klabu yake utakaomfanya abaki hapo mwaka 2023.


Beki wa kulia... Continue reading ->Source: Shaffih DaudaRead More