Ahmed Jongo kuzikwa Tandika - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ahmed Jongo kuzikwa Tandika

ALIYEWAHI kuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Ahmed Jongo amefariki dunia jana na anatarajiwa kuzikwa mchana wa leo Jumatatu kwenye makaburi ya Tandika, Dar es Salaam.


Source: MwanaspotiRead More