Air Tanzania: Je shirika hili la ndege litakabiliana na hali gani ya kibiashara Tanzania ? - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Air Tanzania: Je shirika hili la ndege litakabiliana na hali gani ya kibiashara Tanzania ?

Tanzania, kama ilivyo kwa nchi zingine kama Zambia, Zimbabwe, Nigeria na Uganda, imeamka na kutaka kufufua shirika lake la ndege, ama kama lijulikanavyo, Air Tanzania.


Source: BBC SwahiliRead More