Airtel kutoa 1.4TZS bilioni kama gawio kwa wateja wake wa Airtel Money - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Airtel kutoa 1.4TZS bilioni kama gawio kwa wateja wake wa Airtel Money

Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania inatarajia kutoa jumla ya TZS1.4 bilioni kama gawio kwa wateja wake wanaotumia  huduma ya Airtel Money.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wakutangaza hatua hiyo, Mkurugenzi wa Masoko na Airtel Money  Bw. Isack Nchunda alisema kuwa gawio hili litatolewa kwa wateja wote wa Airtel Money pamoja na mawakala nchini kote ambao wamekuwa wakitumia huduma ya Airtel Money kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka ambayo ni miezi mitatu yaani (Junuari mpaka Machi mwaka huu).
Airtel Money tumekuwa tukitoa gawio katika kila robo ya mwaka tokea mwaka 2015. Kwa robo hii, jumla ya 1.4 TZS bilioni zitatolewa kwa wateja wa Airtel Money pamoja na Mawakala. Wateja wa huduma ya Airtel Money pamoja na Mawakala watakuwa na Uhuru wa kuchangua jinsi ya kutumia fedha zao, alisema Nchunda.
“Hii ni mara ya sita kwa kampuni ya Airtel kutoa gawio kwa wateja wote kupitia huduma yake ya Airtel Money. Kila mteja wa Airtel Money atapokea gawio hili tunalotoa  kulingan... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More