Airtel Tanzania yapunguza gharama za mawasiliano - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Airtel Tanzania yapunguza gharama za mawasiliano

Gharama za mawasiliano ni moja ya sababu ambazo zinawafanya watu kuhama/kuwa na kadi za simu kutoka mitandao tofauti tofauti na mwisho wa siku unakuwepo ushindani kuhakikisha kila mtu anavutia wateja kwa namna yake. Airtel Tanzania imekuwa ikitoa huduma za mawasiliano mijini na vijini kwa miaka mingi sasa na imekuwa ikipata ushindani mkali kutoka kwa Voda, [...]


The post Airtel Tanzania yapunguza gharama za mawasiliano appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More