AIRTEL TANZANIA YATOA GAIWO LA 1.4 BIL KWA WATEJA WAKE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AIRTEL TANZANIA YATOA GAIWO LA 1.4 BIL KWA WATEJA WAKE

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Isack Nchunda (katikati), akizungumza na waandishi wa habri, Dar es Salaam kuhusu gawio la Shilingi 1.4bilioni litakalo gawiwa wateja wa kampuni hiyo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando na Meneja wa Airtel Money, Ibrahim Malando.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando, akizungumza na waandishi wa habri, Dar es Salaam kuhusu gawio la Shilingi 1.4bilioni litakalo gawiwa wateja wa kampuni hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Airtel Tanzania, Isack Nchunda.---Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania inatarajia kutoa jumla ya TZS1.4 bilioni kama gawio kwa wateja wake wanaotumia huduma ya Airtel Money.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wakutangaza hatua hiyo, Mkurugenzi wa Masoko na Airtel Money Bw. Isack Nchunda alisema kuwa gawio hili litatolewa kwa wateja wote wa Airtel Money pamoja na mawakala nchini kote ambao wamekuwa wakitumia huduma ya Airtel Money kwa kipindi cha r... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More