AIRTEL TANZANIA YAWAHAKIKISHIA WATEJA WAKE HUDUMA BORA NAZA KISASA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AIRTEL TANZANIA YAWAHAKIKISHIA WATEJA WAKE HUDUMA BORA NAZA KISASA

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Airtel Tanzania akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Tanzania Sanjay Rughani wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja na washirika wake jijini Dar es Salaam. Kati kati ni Mkurugenzi wa Biashara Airtel Tanzania Rohit Tandon.Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Airtel Tanzania akimkaribisha moja ya wageni waalikwa wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja na washirika wake jijini Dar es Salaam. Kati kati ni Mkurugenzi wa Biashara Airtel Tanzania Rohit Tandon.Mkurugenzi Mtendaji Airtel Tanzania Sunil Colaso akiongea na wafanya kazi wa kampuni hiyo, wateja na wageni waalikwa wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja na washirika wake jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Tanzania Sanjay Rughani akiongea na moja ya wageni waalikwa wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja na washirika wake jijini Dar es Salaam. Kati kati ni Mkurugenzi Mtendaji... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More