Airtel yatangaza punguzo kabambe kwa wateja wake kupiga simu Mitandao Yote - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Airtel yatangaza punguzo kabambe kwa wateja wake kupiga simu Mitandao Yote

 Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano na Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isaack Nchunda wakionyesha bango baada ya  ya Airtel kuzindua huduma mpya inayojulikana kama ‘TAMBA MITANDAO YOTE’, huduma hiyo ina lengo la kuwapa wateja wake suluhisho na uhuru wa kuchagua huduma ya mawasiliano ambayo ni nafuu zaidi wakati wowote hata kama mteja hajajiunga na bando.  Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam baada ya Airtel kuzindua huduma mpya inayojulikana kama ‘TAMBA MITANDAO YOTE’, huduma hiyo ina lengo la kuwapa wateja wake suluhisho na uhuru wa kuchagua huduma ya mawasiliano ambayo ni nafuu zaidi wakati wowote hata kama mteja hajajiunga na bando. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isaack Nchunda.


· Punguzo Pekee kutoka Airtel, uhuru wa kuongea
· Airtel sasa yawezesha wateja kupiga simu mitandao yote kwa 1TZS bila bando 
Kampuni ya simu za mkononi ya ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More