AIRTEL YATOA MSAADA WA KITANDA CHA OPARESHENI HOSPITALI YA MKURANGA - PWANI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AIRTEL YATOA MSAADA WA KITANDA CHA OPARESHENI HOSPITALI YA MKURANGA - PWANI

 Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kulia) akisalimiana na Injinia Mshanu Munde baada ya Airtel kukabidhi kitanda cha upasuaji kwa hospitali ya wilaya ya Mkuranga mwisho mwa wiki. Airtel ilitoa kitanda hicho kwenye thamani ya Milioni tano ikiwa ni juhudi za kusaidia jamii kupitia mradi wa AIRTEL TUNAKUJALI. Wengine ni Wengine ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Mkuranga Dkt Stephen Mwandambo (kati kati) na katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Omari Kisali (wa kwanza kulia).Meneja wa Kitengo cha kuhudumia wateja wakubwa Airtel Tanzania Alice Maziku akimkabidhi kitanda cha upasuaji Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Mkuranga Injinia Mshanu Munde mwishoni mwa wiki. 
Kampuni ya Airtel Tanzania kupitia mradi wa AIRTEL TUNAKUJALI ilitoa kitanda cha upasuaji kwa wakinamama wanaojifungua kwa hospitali ya Mkurunga ikiwa ni juhudi za kusaidia jamii iiliyo kwenye mahitaji maalum. Wengine ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Mkuranga Dkt Stephen Mwandambo (kati kati), Meneja Uhusiano Airt... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More