Aiyee aziingiza vitani Prisons, KMC, Namungo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aiyee aziingiza vitani Prisons, KMC, Namungo

Mshambuliaji Salim Aiyee wa Mwadui FC, amegeuka lulu kwa timu za Ligi Kuu Bara, baada ya kumaliza msimu huu akiwa amefunga jumla ya mabao 18, akiachwa kwa mabao matano na Meddie Kagere mfunguaji bora wa TPL.


Source: MwanaspotiRead More