Ajali ya moto yaua mchezaji, wengine wawili wanusurika - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ajali ya moto yaua mchezaji, wengine wawili wanusurika

AJALI ya moto iliyoua zaidi ya watu 60 mjini Morogoro imewagusa watu wa soka baada ya kubainika mmoja ya wachezaji wa Moro Kids naye amefariki katika mkasa huo, huku wengine wawili ambao ni ni wanasoka wakiachwa na majeraha mabaya.


Source: MwanaspotiRead More