Ajali ya Treni, Naibu Waziri Atoa Neno - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ajali ya Treni, Naibu Waziri Atoa Neno

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa amesema hatua ya awali iliyofanywa baada ya kutokea kwa ajali ya lori kugonga treni ya abiri ni kuhakikisha majeruhi katika ajali hiyo iliyotokea jana Jumatatu usiku wanafikishwa haraka hospitali.


Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (aliyevaa miwani) akiwa katika eneo ilipotokea ajali ya treni ya Shirika la Reli Tanzania kupata ajali ya kugongana na lori na kusababisha mabehewa mawili kupinduka na moja kuacha njia, jirani stesheni ya jijini Dodoma, leo asubuhi. Picha na Edwin Mjwahuzi
Akizungumza akiwa eneo la tukio karibu na Stesheni ya Dodoma leo Jumanne Juni 18 2019 Kwandikwa amesema amepata taarifa kupitia mtandao na kuamua kufika ili kuona iwapo hatua za wali zimechukuliwa.

“Hatua za awali kwanza kunusuru abiria waliokuwa kwenye treni kwa kuhakikisha wanakuwa mahali salama. Nashukuru Mungu kwamba majeruhi ambao kwa haraka haraka wamechukuliwa na kupelekwa hospitali (ya Rufaa Dodoma),” a... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More