AJAX WATWAA UBINGWA WA KWANZA UHOLANZI TANGU MWAKA 2014 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AJAX WATWAA UBINGWA WA KWANZA UHOLANZI TANGU MWAKA 2014

Wachezaji wa Ajax wakishangilia ushindi wao wa ubingwa wa Ligi ya Uholanzi baada ya kuichapa mabao 4-1 De Graafschap usiku wa jana Uwanja wa De Vijverberg mjini Doetinchem, hilo likiwa taji lao la kwanza la Eredivisie tangu 2014 hayo yakiwa matunda ya kizazi kipya cha dhahabu cha timu hiyo Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More