Ajibu ametukumbusha mkasa wa Hiroshima - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ajibu ametukumbusha mkasa wa Hiroshima

MIAKA 73 iliyopita Marekani ilitutumia usiku wa Agosti 6, 1945 kuteketeza miji ya Nagasaki na Hiroshima iliyopo Japan kwa mabomu ya nyukilia. Tukio hilo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya katika matumizi ya silaha katika vita ya Pili ya Duniani.


Source: MwanaspotiRead More