Ajifungua mapacha watano kwa mpigo na kuandika historia Afrika, mume apata mshtuko ashindwa kufika hospitali - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ajifungua mapacha watano kwa mpigo na kuandika historia Afrika, mume apata mshtuko ashindwa kufika hospitali

Bi Honoratha Nakato kutoka Uganda ameandika historia mpya barani Afrika baada ya kujifungua watoto watano kwa mara moja, na kumfanya kuwa mwanamke wa kwanza chini ya Jangwa la Sahara kuzaa idadi hiyo kupitia njia ya IVF (kupandikiza mayai).Kwa mujibu wa Azam tv Mama huyo amesema kuwa amehangaika kwa zaidi ya miaka 15 kutafuta mtoto lakini amejikuta juhudi zake zikigonga mwamba mpaka alipopata ushauri wa kutumia mfumo huo wa IVF.


”Nilipofanya uchunguzi na kuambiwa na madaktari kuwa nitajifungua niliona kama ndoto hivi, nilifanya siri kiasi kwamba hata mume wangu hakujua kama nilikuwa natarajia watoto watano, alikuwa anajua angalau wawili,” amesema Honoratha.


Honoratha ameongeza ”Niliangaika miaka mingi kutafuta mtoto, nilitembea huku na kule hadi nilipokuja kwa dokta Sad, ila wengi walinitisha kuwa nisingeweza kulipia gharama yake na hatimaye nilifikia muafaka ila sikutarajia kupata idadi hii ya watoto.”


Daktari aliyemzalisha mama huyo ameelezea namna alivyo weza kufanya uzali... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More