AJIRA: Hawa wote wanatosha kumbadili Mourinho - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AJIRA: Hawa wote wanatosha kumbadili Mourinho

MANCHESTER, ENGLAND. JOSE Mourinho ndio kama ulivyosikia. Mambo yake huko Manchester United kila kukicha ni presha tu. Mechi ile ya Newcastle United ilishusha presha kidogo, lakini hapo jana Jumamosi alikuwa na shughuli pevu nyingine huko Stamford Bridge wakati kikosi chake kilipokwenda kuikabili Chelsea ya Eden Hazard kwenye Ligi Kuu England.


Source: MwanaspotiRead More