Akaunti rasmi za Facebook na Twitter za rais Uhuru Kenyatta zimefutwa - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Akaunti rasmi za Facebook na Twitter za rais Uhuru Kenyatta zimefutwa

Akaunti zote rasmi za mitandao ya kijamiii ya rais wa Kenya Uhuru zimefungwa baada ya kutumiwa na watu ambao ''hawajaidhinishwa", amesema mkuu wa wafanyakazi wake


Source: BBC SwahiliRead More