AL MUNTAZIR SEMINARI YAWAKUTANISHA WANAFUNZI BARANI AFRIKA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AL MUNTAZIR SEMINARI YAWAKUTANISHA WANAFUNZI BARANI AFRIKA NCHINI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

SHULE ya sekondari ya Seminari ya Kiislamu Al Muntazir kwa mara nyingine tena wamewakutanisha wanafunzi wa shule za Sekondari nchini na nje ya nchi kwa lengo la kufanya mashindano ya kujadili mada mbalimbali za kijamii na kiuchumi.

Mjadala huo umepewa jina la "Mwalimu Nyerere Schools Invitational Debate Championships" ili kuwajenga na kuwaandaa wanafunzi hao kuwa wataalamu na wajuzi kwa miaka ijayo.Akizungumza na vyombo vya habari Mkuu wa shule ya Al Muntazir Reuben Kimani ameeleza kuwa mashindano hayo kwa shule za Sekondari na hiyo ni mara ya tatu yamefanyika yakihusisha washiriki zaidi ya 200.

Na hiyo ni kwa lengo la kuwafanya wawe na fikra pana kwa elimu ya chuo watakayoendelea nayo, ambapo ameeleza kuna shule kutoka Zimbabwe na Kenya na wenyeji Tanzania wakiwakilishwa na shule za Tusiime, Shaaban Robert, shule ya wavulana na wasichana Feza, Aghakan na wenyeji Al Muntazir.

Aidha ameeleza kuwa mashindano hayo yatachukua siku 3 wale watakaof... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More