Ali Kiba Afunguka Baada Ya Kusainiwa Coastal Union - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ali Kiba Afunguka Baada Ya Kusainiwa Coastal Union

Staa wa muziki wa Bongo fleva Ali Salehe Kiba amefunguka mara baada ya kucheza mchezo wake  wa kwanza ndani ya Coastal Union ya jijini Tanga.


Miezi michache iliyopita iliwekwa wazi kuwa Ali Kiba atatanua ujuzi wake na kuanza kucheza soka la kulipwa ndani ya Coastal Union.


Baada ya kuwa mkimya kwa muda kuhusu kuasajiliwa chini ya timu hiyo kwa ajili ya kucheza soka la kulipwa hatimaye Ali Kiba anafunguka na kuweka wazi nafasi yake ndani ya Coastal Union.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ali Kiba ameandika maneno haya:


View this post on InstagramNina furaha kuanza kukifanyia kazi kitu ambacho nakihusudu sana baada ya muziki wangu. Naishukuru Costal Union kwa kuniamini na kuungana nami kupitia brand yangu ya Mofaya Energy Drink na kunipa fursa ya kuwa sehemu ya timu. Naamini ushirikiano huu, utaleta mafanikio kwa Coastal Union na MofayaByAlikiba. Asanteni kwa kuniunga mkono kwenye jambo, tukutane dimbani! I am thrilled to be part of a passion I hol... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More