“Ali Kiba ana uwezo kuliko wachezaji wa Simba na Yanga”-Julio - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Ali Kiba ana uwezo kuliko wachezaji wa Simba na Yanga”-Julio

Baada ya mechi ya kirafiki ya hisani kati ya Samatta na marafiki zake #TeamSamatta dhidi ya Ali Kiba na marafiki zake #TeamKiba kocha Jamhuri Kihwelu Julio amekiri kuvutiwa na kiwango cha King Kiba kwa muda mrefu na yupo tayari kumsajiki kwenye timu yake.


Julio alikiongoza kikosi cha TeamSamatta kuibuka na ushindi wa magoli 4-2 dhidi ya wapinzani wake TeamKiba amesema Ali Kiba anauwezo kuliko wachezaji wengi wa Simba na Yanga.


“Mara zote namwambia nataka nimsajili kwenye timu yangu, kama hawezi kuja kule mkoani lakini tukija hapa aje kucheza anauwezo mkubwa sana”-Julio.Source: Shaffih DaudaRead More