Ali Kiba Ndani Ya Ngoma Moja na Timaya Wa Nigeria - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ali Kiba Ndani Ya Ngoma Moja na Timaya Wa Nigeria

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba amepata shavu la maana Baada ya kushirikishwa kwenye Albamu mpya ya Msanii wa muziki kutoka Nigeria Timaya.


Album mpya ya staa Timaya wa Nigeria inayoitwa Chulo Vibes’ ikiwa na jumla ya ngoma tisa ambapo imewashirikisha wasanii tofautitofauti akiwemo BurnaBoy,Machel Montano.


Kupitia ukurasa wa instagram wa Timaya ameweka cover ya Album yake bila kutaja tarehe rasmi ya kuichia sokoni huku ngoma yake na Alikiba ‘Number One’ ikishika nafasi ya tano ndani ya Album hiyo.


View this post on Instagram8-2-19 CHULO VIBES. 👿


A post shared by PAPICHULO (@timayatimaya) on Feb 6, 2019 at 10:27pm PST

The post Ali Kiba Ndani Ya Ngoma Moja na Timaya Wa Nigeria appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More