Alichiandika Lissu, kuadhimisha miaka mwili tangu kupigwa risasi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Alichiandika Lissu, kuadhimisha miaka mwili tangu kupigwa risasi

SEPTEMBA 7, 2017 – SEPTEMBA 7, 2019: MIAKA MIWILI YA MATESO, MATUMAINI Tundu AM Lissu, MB Ndugu na marafiki zangu popote mlipo, Wananchi wenzangu, Salaam, Leo ni tarehe 7 Septemba, 2019. Majira ya mchana wa siku kama ya leo miaka miwili iliyopita, nilitoka kwenye Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma, ...


Source: MwanahalisiRead More