Alichofanya Joti baada ya ushindi wa TeamSamatta - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Alichofanya Joti baada ya ushindi wa TeamSamatta

Firimbi ya mwisho ilipopulizwa kuashiria kumalizika kwa mechi ya kirafiki ya hisani TeamSamatta vs TeamKiba, msemaji wa TeamSamatta Joti, alizama uwanjani na kuanza kuonesha ufundi kwa ku-contral mpira.


Joti alikuwa anadhihirisha kwamba ukiachana na kutema maneno ambayo ndiyo kazi alipewa kuifanya, yeye mwenyewe yupo fit na anaweza kuingia uwanjani kuoneshana kazi.Source: Shaffih DaudaRead More