Alichosema King Kiba baada ya mechi TeamSamatta vs TeamKiba - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Alichosema King Kiba baada ya mechi TeamSamatta vs TeamKiba

Wakati TeamSamatta inaongoza 3-2 dhidi ya TeamKiba, TeamKiba ilipata penati na ilikuwa nafasi kwao kusawazisha na kurudi kwenye mchezo lakini nahodha mwenyewe King Kiba akapaisha mkwaju wa penati na kuendelea kuipa timu yake wakati mgumu kusawazisha.


Baada ya game King Kiba amesema kabla hajapiga mkwaju wa penati Samatta alimfuata na kumnong’oneza kumuomba asifunge ndio maana akapaisha (utani).Source: Shaffih DaudaRead More