Alichosema Mama Kanumba Kuhusu Lulu. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Alichosema Mama Kanumba Kuhusu Lulu.

Mama wa marehemu Steven Kanumba amefunguka na kusisitiza kuwa katika maisha yake hajawahi kumchukia msanii Lulu Michael kama ambavyo imekuwa ikisikika masikitonkwa watu na watu wengi kuamini hivyo kwa sababu ya kumuua mtoto wake.


Mama huyo anasema kuwa hajawahi kumchukia Lulu lakini amekuwa na uchungu kila siku kwa sababu kifo chake kimesababishwa na mtu mwingine.


Mama kanumba alipokuwa akiongea na EATV, anasema  “kanumba ni mwanangu na nilikuwa ninampenda sana na ukizngatia nilimlea kwa tabu sana lakini anatokea mtu anamuua, mimi simchukuii lulu mimi ninampenda sana, ninamtakia kila lenye kheri katika maisha yake.


Kama bado kuna kumbukumbu, mama kanumba na lulu walikuwa marafiki sana hasa baada ya kifo cha kanumba lakini baada ya hapo mahusiano yao yalianza kufa na hata kufikia hatua ya kuwa maadui wakubwa.


Mama huyo ukiachana na kulalamika  katika mitandaokuwa lulu amekuwa hamuheshimu wala kumsaidia lakinni alichukizwa sana na hukumu aliyopewa mwanadada huyo ikiwa kama adhabu ya ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More